Kuwajengea uwezo wa kiutendaji...Tuache pia ku promote watu bila kuwapa real practice na exposure...Kisha kuna wengine wazuri ambao pia hawapewi nafasi ya ku practice ili waje kutumia akili zao kukwamua nchi...Kiufupi succession plab yetu ya uongozi na utaalamu ina mushkeli...Haipo objective kabisa...Ina promote watu ambao ni ma opportunist na kuacha wale ambao ni objective na rationalAkili za darasani ni Tatizo la Kitaifa kwenye Ofisi Nyingi tu Tanzania...sijui suluhu yake ni nini?!
Ila nyie watu mnachekesha sana,mara Rais kawa held hostage,mara Rais atafanya re shuffle ya Cabinet......ukiskia kuchanganyikiwa ndio huku sasa!Baada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?
Asante sana mkuu.Kuwajengea uwezo wa kiutendaji...Tuache pia ku promote watu bila kuwapa real practice na exposure...Kisha kuna wengine wazuri ambao pia hawapewi nafasi ya ku practice ili waje kutumia akili zao kukwamua nchi...Kiufupi succession plab yetu ya uongozi na utaalamu ina mushkeli...Haipo objective kabisa...Ina promote watu ambao ni ma opportunist na kuacha wale ambao ni objective na rational
Wabunge si ndio walewale, unafikiri angekuwa na wabunge wa maana kuwateuwa uwaziri huyu mama Tax asingeteuliwa ubunge ili apewe uwaziri.Vunja baraza lootee...
Anza upya Mma
πππππWabunge wa ccm wamejaa kina Kibajaj, Msukuma na watu wa hovyo kama Gwajiboy.
Ukikuta msomi ndio hawa kina Mwigulu najanga matupu akili imechoka na imezeeka wakati bado mtoto mdogo tu.
Bongo bahati mbaya
Wishful thinkingAnachukua Wizara ya Fedha huyo hopefully yule gaidi Mwigulu Nchemba ataachwa nje ya Baraza la Mawaziri.
Hii trap ya wabunge inahitaji mkakati...This time walijitokeza watanznaia wengi sana tena wenye sifa za kutosha but hawakuwa watoa rushwa...Upinzani ulichangia sana CCM kushindwa kuwaleta kwa uchaguzi wasomi hao...Tujilaumu watanzania wenyewe kwaku rasimisha rushwa kwenye chaguzi na siyo wasomi wetuWabunge si ndio walewale, unafikiri angekuwa na wabunge wa maana kuwateuwa uwaziri huyu mama Tax asingeteuliwa ubunge ili apewe uwaziri.
Wabunge wa ccm wamejaa kina Kibajaj, Msukuma na watu wa hovyo kama Gwajiboy.
Ukikuta msomi ndio hawa kina Mwigulu najanga matupu akili imechoka na imezeeka wakati bado mtoto mdogo tu.
Bongo bahati mbaya.
Hata amlete nani bado baraza lake litabaki la hovyoBaada ya kuapishwa kwa Dr. Tax kuwa Mbunge ni dhahiri kuwa kutakuwa na reshuffle ya baraza la mawaziri.
Ni mawaziri gani unahisi wanahitaji kupumzishwa na Mh. Rais?