Tutegemee vikatuni vingi zaidi kututoa tusijadili bei ya mafuta

Tutegemee vikatuni vingi zaidi kututoa tusijadili bei ya mafuta

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Naam! Tutasikia mengi. Tutaona mengi.

Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena!

Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k.

Haya tutegemee mengi Mengine.

Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
 
Kweli Sasa Ivi Maisha Magumu Hadi Rais Anaigiza Movie [emoji848][emoji1787][emoji1787]
 
Naam! Tutasikia mengi. Tutaona mengi.

Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena!

Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k.

Haya tutegemee mengi Mengine.

Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
Unamaanisha kuna sehemu ya Tanzania bei ya mafuta kwa sasa ni 2600?
 
Back
Top Bottom