Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tukutane bandarini hii nchi tunaikomboa mapema sanaTutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii.
Sasa tuone watalinda wapi.
Inefficient ipo pia Terminal One (kupata mzigo wako pale ni mbinde). Pale napo ni pa hatari sana.....!Tutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii.
Sasa tuone watalinda wapi.