Elections 2010 Tutengeneze jedwali ambalo matokeo yote yatajumulishwa pamoja

Elections 2010 Tutengeneze jedwali ambalo matokeo yote yatajumulishwa pamoja

Omulangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
1,036
Reaction score
267
Napendekeza litengenezwe jedwali ambalo litaunganisha matokeo yote ya majimbo na vituo vyake na idadi ya vyama. Kila matokeo yanapokuja yaingizwe humo. Wanaotuma matokeo waelezwe ni items zipi waweke mf jimbo, kata na kituo. Ndipo mtu aseme idadi ili wakati huo huo tupate picha ya jumla ya matokeo. Je Mods wanaweza kushughulikia hili? Ni mawazo yangu.
 
Hilo lipo tayari nadhani mods bado wako bize kwa sasa..
 
Nadhani mods watakuwa wanashughlikia anake kuzunguka thredini ni kazi!
 
Mimi nina wasiwasi baadhi ya watu watatuletea taarifa za uongo. kwa hiyo tutafute vigezo ambavyo vitatumika kuamini matokeo kabla hatujayaingiza ktk jedwali.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom