demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Sahau kuhusu ubishi wa events za Wiki ya mwanachi na Simba day, tukirudi kwenye uhalisia klabu zetu ni lazima ziendelee kutafuta zaidi vyanzo vya mapato.
Yanga made a right call to abandon Visit Tanzania and use Haier last season kwa sababu they get nothing from it and I expect Simba to do the same this season kwenye late stages za CAFCl tuachane na mambo ya vitonga.
Kama serikali kupitia bodi ya utalii itataka Simba na Yanga zitumie logo ya Visit Tanzania then they need to pay those clubs kwa sababu utalii ni biashara unless timu zikose kabisa sponsors. Arsenal na PSG wapo Ulaya lakini wanapromote Visit Rwanda not UK or Eiffe Tower na ukiona wanafanya hivyo ujue wamevuta mkwanja and they do it for money to raise funds kwa sasa mpira ni biashara.
There is no free lunch in economics, if they want Simba and Yanga to use Visit Tanzania logo then the Tanzania tourist body has to pay it.
(Mdau)