Tutengeneze ubuyu wa Zanzibar

Tunaopenda kutafuna kujua hivi vitu muhimu
Tutafanya kolabo one day 🀣🀣
Thread iwe nzito humu Jf
Nuzulati atakuwa kitengo cha kachumbari πŸ˜‚
Evelyn Salt atabeba salt arushie rushie
 
My dear Sio kwa Raha hizi,I love u soooo much Pokea kumbato la upendo Mwachi wangu nakupendaaaπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
Nakupenda more beautiful wangu napokea kwa tabasamu kubwa sana siwez ishi bila wewe kabisa 😘
 
Mwachi wangu MimiπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• Baba Uswege utafanya huu mbichwa upasuke kwa sifa mixer raha unazonipaπŸ’“πŸ’“πŸ’“
Wewe ni zawadi ya moyo wangu ambapo moyo wangu haukutarajia kwa wakati huu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…