Wapi umefunga pmNicheki
Ukisikia neno "Soulmate" hapa ndo limefika mahala Pake๐ค๐ค๐ค๐คNamuonea wivu mke wa Mwachiluwi ๐
Ahaha ๐Sitaki utani kwenye anga zangu!
We ukajua unafanywaje?Ubuyu kutengenezwa ndio nasikia leo
KupikaUbuyu kutengenezwa ndio nasikia leo
MhmmKupika
Unavunwa kwenye mitiWe ukajua unafanywaje?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ nannume alage! Sawa.Sasa wewe si mwansume unatak upewe utamu hakikisha una bembeleza
Ukivunwa lazima utiwe manjonjo kidogo kumvutia mlaji!!!Unavunwa kwenye miti
Dah ๐Mwanaume unakula ubuyu hadi kuutengenez wajua umenishinda tabia
NajivunzaUkivunwa lazima utiwe manjonjo kidogo kumvutia mlaji!!!
Halafu wewe kipindi ulikuwa na hela nikakulengesha kwa Mary ukachomoa,zimekuisha kutwa kumfungulia thread Mungu anakuona๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ nannume alage! Sawa.
Amina Yesu akulinde na damu ya kristi ikufunike ukilala jua nakupenda usiache kuniombeaUsiku mwema Baba Uswege ulinzi wa ki Mungu ukatamalaki mahali hapo ulale salama!!!