Tutengeneze ubuyu wa Zanzibar

Halafu wewe kipindi ulikuwa na hela nikakulengesha kwa Mary ukachomoa,zimekuisha kutwa kumfungulia thread Mungu anakuonaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Ni asili ilivyo ukipewa hela unanyimwa upendo halisi kutoka moyoni.
Kausha lakini asije ligundua hili.
 
Baking powder ina umuhimu gani? Kwenye ubuyu? Maana nafahamu raising agent ko inasaidia nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…