Tuthamini michezo kwa mustakabali wa vijana wetu

GERMANY

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
65
Reaction score
21
Mabadiliko katika Ulimwengu wa sayansi na technolojia Ni kitu ambacho hakiepukiki.
kwa kuwa tumelelewa katika tamaduni za kuabudu tamadani za magharibi kwa maana ya Ulaya,hatuna budi kujitafakari kama taifa kuwa michezo Ni ajira pekee katika ulimwengu wa ssasa kwa vijana katika taifa lolote like!
Wachezaji WA mpira wamekuwa wakilipwa mishahara mikubwa Sana kuliko mfanyakazi yeyote hapa duniani!

Je kupitia wizara na BMT tuna mechanisms gani kutengeneza ajira kupitia michezo? Hivi tutabakia kuimba wachezaji wa zamani mpaka lini?
Ifike mahali wizara ije na mkakati mzuri wakupromote michezo hapa nchini kuliko kuendeleza propaganda za zamani!
Binafsi ninaamini kuwa Kuna kila sababu ya michezo kuanza kufundishwa kuanzia ngazi ya shule ya msingi mpaka Chuo kikuu!
Hivi Kuna logic gani ya kuja kumfundisha mwanafunzi Chuo kikuu michezo wakati huku chini hakufundishwa michezo?
Hivi Ni nani atakuja kuithamini michezo hapa nchini kama sio viongozi waliopewa dhamana halisi ya kusimamia? au wanajukumu la kupiga vita ushirikina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…