Tint Alexandre Arnold
Senior Member
- Feb 28, 2019
- 123
- 148
Wazungu wametengeneza simu ambayo unaweza kuongea na mtu aliye mbali hata kwa video chat mkaonana halafu hii tunaita technolojia, lakini bibi yako kijijini akitumia kiyoo kuongea na mwenzake au akitumia ufagio kupaa mnamuita mchawi..
Waafrika ni lini tutathamini vya kwetu? tutathamini vya kwetu?
Waafrika ni lini tutathamini vya kwetu? tutathamini vya kwetu?