Tutorial Assistant

Tutorial Assistant

Mapso

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2020
Posts
400
Reaction score
584
Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia

Ni vigezo gani vya kuwa tutorial assistant kwa vyuo vikuu na vyuo vya kati amemaliza mwaka huu ana overall GPA ya 3.8 ifm na kama kuna mtu yoyote ana sample ya barua ya maombi anaomba pia kujua sample inakuwaje.

Nawasilisha Uzi huu karibuni kwa ushauri.
 
Vigezo vya kuwa tutorial assistant ni lazima uwe na upper second class, 3.5 according to TCU ila vyuo vingi huwa vinahitaji 3.8 ili kupunguza ushindani. Kuhusu barua ni barua tu official, najua unajua jinsi ya kuandika cha muhimu uwe tu anuani ya sehemu husika
 
Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia

Ni vigezo gani vya kuwa tutorial assistant kwa vyuo vikuu na vyuo vya kati amemaliza mwaka huu ana overall GPA ya 3.8 ifm na kama kuna mtu yoyote ana sample ya barua ya maombi anaomba pia kujua sample inakuwaje.

Nawasilisha Uzi huu karibuni kwa ushauri.
Una field experience ya hiyo field yako? Usije kuta wewe mhasibu (mfano) alafu hujawahi hata kufanya real field work then unataka ukatufundishie watoto huko chuoni!

PS: Nimeona umemaliza chuo mwaka huu, which means huna field experience zaidi ya yale uliyo kariri darasani.

Vyuo vikuu inabidi vibadilike... pamoja na gpa ya 3.5+ ila ni LAZIMA MTU YEYOTE ANAYETAKA KUFUNDISHA CHUO AWE NA FIELD EXPERIENCE (ya field anayo taka fundisha) walau miaka mitatu!!

Mtu huyu sio tu anajua theories lakini ana practical experience ya kitu anachofundisha!
 
Bro ukiwa tutorial assistant si kwamba unaanza kufundisha direct kuna steps kwanza za kupata experience then baadae ndo unaenda kufundisha ukiwa tayari experience unayo
 
Mkuu unaweza kututajia hizo steps?

NB: Na useme ni namna gani zina kuwezesha uanze kufundisha ukiwa na experience.
 
Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia

Ni vigezo gani vya kuwa tutorial assistant kwa vyuo vikuu na vyuo vya kati amemaliza mwaka huu ana overall GPA ya 3.8 ifm na kama kuna mtu yoyote ana sample ya barua ya maombi anaomba pia kujua sample inakuwaje.

Nawasilisha Uzi huu karibuni kwa ushauri.
ALL THE BEST MKUU.
 
Back
Top Bottom