Una field experience ya hiyo field yako? Usije kuta wewe mhasibu (mfano) alafu hujawahi hata kufanya real field work then unataka ukatufundishie watoto huko chuoni!Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia
Ni vigezo gani vya kuwa tutorial assistant kwa vyuo vikuu na vyuo vya kati amemaliza mwaka huu ana overall GPA ya 3.8 ifm na kama kuna mtu yoyote ana sample ya barua ya maombi anaomba pia kujua sample inakuwaje.
Nawasilisha Uzi huu karibuni kwa ushauri.
Mkuu unaweza kututajia hizo steps?Bro ukiwa tutorial assistant si kwamba unaanza kufundisha direct kuna steps kwanza za kupata experience then baadae ndo unaenda kufundisha ukiwa tayari experience unayo
ALL THE BEST MKUU.Habari za saizi wana jamii forum nimekuja mbele yenu kuna issue nataka kuulizia maana kuna mtu anaulizia