Jiger
Member
- Jun 8, 2023
- 26
- 12
Tanzania ni nchi ambayo ina utajili wa ardhi na ardhi yetu ina asilimia 80% ya kuzalisha mazao yenye tija kwa nchi pamoja na familia zetu. Nchi yetu ingeweka mipango sahihi wa kuwasaidia vijana wanamaliza vyuo kuwapa mkopo kama ule mkopo unaotolewa wakati wanaingia chuo hii ingeleta tija kwa vijana kujiajiri na kupunguza tatizo la ajira nchini na kufanya watu wengi kujiajiri na kupunguza wimbi la kulaumu Serikali kwenye sekta ya ajira.
Elimu ya ujasiriamali ingewekwa kuanzia shule za msingi mpaka sekondari zisiwekwe kwebye vyuo vya kati na vyuo vikuu iwe mwanzo wa msingi mwanafunzi apate kuelewa nini maana ya ujasiriamali aweze kupata mawazo chanya tokea akiwa mdogo asiweke fikra ya ajira na ajira iwe ni ziada kwa mwanafunzi wa chuo.
Nchi yetu ya Tanzania ina maeneo mengi na hayatumiki na ina vyanzo vingi vya maji naweza sema nchini yetu ina utajiri wa ardhi na maji ila mpaka sasa unaweza jiuliza kwanini hatuna wajuzi wa kilimo wa kutosha na watu hawajui kilimo na hawajui nini cha kufanya ila watu hao hao wanasubiri wastaafu au wafikie haki ya uzee ndio wanzee kulima hapo inakuwa ni ngumu kufanikiwa kwakuwa nguvu kubwa sana kwenye uwekezaji inaletwa na vijana sio uzee hapo ndio watu wengi hudhani mkulima ni mtu wa hali ya chini na mkulima ni mtu ambaye ameishiwa mipango pamoja na kuonesha kuwa kilimo ni adhabu kwakuwa hata mashuleni kwetu mtu akifanya kosa basi kama hajaambiwa akalime au kufyeka pamoja na magereza yetu asilimia kubwa wafungwa wanalimishwa basi imejenga zana kwa jamii kuwa kilimo ni adhabu na kilimo kwa ajili ya watu masikini ila hatukumbuki marighafi nyingi zinatokana na mazao ya kilimo.
Wasomi wengi wa nchini kwetu akili kubwa walio nayo na wengi wao wanafikiri kuwa wakimaliza vyuo basi kazi iliobaki ni kuandika barua kutafuta ajila ila wanasahau kuwa kuna kujiajili na apo kwenye swala la kujiajili lazima serikari iweke mfumo maalumu wa kuwakopesha pesa taslimu au vitendea kazi kwa ishu usika ili kufanya uzalishaji wa ndani uendele tuache kuagiza bidhaa kutoka nje ya tanzania na sisi tuwe walengwa wakubwa wa uzalishaji na kusambaza bidhaa zetu njee ya nchi yetu.
Vijana wetu ambao watapewa mikopo ya uzalishajo mari na uwekezaji basi wapewe ushindani na serikari iunde mashindano ya ushindani wa bidhaa kwakuwa sio wote watakuwa wanalima ila kuna wale ambao watakuwa wanafanya mchakato wa kuongeza samani bidhaa halisi mfano watakao lima zabibu wasi kuwe na mchakato wa kutengeneza shulubati, wine na watakaolima nyanya basi kuwepo na mchakato wa kuongeza samani ya kusindika nyanya izo ili kusafilisha njee ya nchi ambazo awategemei sana kilimo kama njia ya kuinua uchumi nchini yetu maana kuwa nchini yetu ina sela yake inayo sema "KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TANZANIA" basi sela hii isiwe inatumika kama kufundishia iwe kwa vitendo na ufanisi wa hali ya juu apo ndio nchi itakuwa ina sadiki yalio kwenye sela yake.
Ushindani huo kwenye masuala ya soko italeta matokeo chanya kwenye kukuza uzalishaji na kuongeza ubora wa bidhaa maana bidhaa itakayo ingia kwenye soko lazima ikaguliwe na ifanyiwe uchunguzi wa kina na kupendwa kwake na mapato yake kwa mwaka mzima wa soko hapo utalinganisha ubora wa bidhaa iyo na bei ya bidhaa iyo kwenye ushindani huu vijana wengi watajenga zana ya ushindani na ukijenga zana ya ushindani basi utatengeneza watu wengi wenye kufikilia mawazo mazuri ya uzarishaji kupitia aridhi yetu.
Ajira juu ya uzalishaji huu utakuwa mpana sana kwa kuwa sekta nyingi za uzalishaji zitaitaji watu wasomi na wenye uweledi wa kazi basi zina chochea kupa watu sahihi kabisa ambao watafanya kazi izo kwa usahii mfano kwenye sekta ya masoko kutaitaji watu watu wa masoko wa bidhaa izo kwenye sekta ya wataalamu wa kilimo kutaitaji watu wasomi wa kilimo kwenye sekta ya uchakati kutaitaji watu wanaujua kuchakata na kuziongezea samani bidhaa izo basi apo kutakuwa na mlolongo wenye tija kwa nchini yetu na kupelekea nchi kupata tija ya maswala ya uzalishaji wa ndani kwa kutumia aridhi yetu na watu wetu sana sana vijana wetu ndii nguvu ya taifa basi itumie kuzalisha kupitia nchi yetu .
Na kwakuwa elimu ilishatolewa tokea msingi basi zana ya kufanya watu wetegemee muajili mkuu ambae ni serikari basi waweze kujiajili wenye na kutoa zana ya kuajiliwa na serikari iweze kuwasaidia mikopo ya uendeshaji shughuli zao za ushaliji mali na kuendeleza kupata kipato halali na chenye tija kwake kwa jamii na nchi yake.

Upvote
0