Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni kama unaendesha baiskeli au guta au mkokoteni wa ngombe, pia hamna kuingia sheli kunywa mafuta ukifika home unaicharge tu kama simu ya tecno. baiskeli hii inaweza enda hadi 25km/h yaani ubungo kariakoo robo saa na eletric car inaweza tembea hadi 60km/h na zaidi. Tena hizi gari ni rafiki wa mazingira na hakuna air polution.