Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Ndugu zangu kama kuna suala lolote lisilo la kawaida au linavuruga haki ya mtu kupiga kura kwa uhuru na kwa siri basi tunaweza kutuma kwenda LHRC ili wasaidie kufuatilia. Maelekezo tuliyopewa kupitia simu za mikononi ni kama ifuatavyo:
"Toa taarifa ya vitendo visivyo vya kawaida katika uchaguzi kama vitisho n.k. Kutoa taarifa tuma KITUO CHAKO, acha nafasi, andika TAARIFA kisha tume kwenda 15540".
"Toa taarifa ya vitendo visivyo vya kawaida katika uchaguzi kama vitisho n.k. Kutoa taarifa tuma KITUO CHAKO, acha nafasi, andika TAARIFA kisha tume kwenda 15540".