Tutumie mbuga zetu za wanyama na tech za 2d animation na 3d animation kujipatia kipato

Tutumie mbuga zetu za wanyama na tech za 2d animation na 3d animation kujipatia kipato

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu ingawa sa100 yupo radhi hata kupiga wananchi wake ili apige minada mbuga zetu Kwa mwarabu

Ila mimi nimefikiri kitu tofauti kidogo. Katika harakati zangu hapa chini ya jua kuhusu animation nilikuja kujua kumbe animation ya Hawa wanyama tulionao sisi wa afrika zinalipa sana. Hii niliiona baada ya Kuona kampuni kubwa kama Disney Ina zoo hapo Kenya na huwa inaleta animator Wao hapo kujifunza mienendo mizima ya wanyama. Kisha animator hurudi kwao kufanyia kazi walicho kiona kinacho fwata ni kampuni kujipatia faida kubwa Kutoka Kwa movie zao kama vile Zootopia, jungle book, lion king

Inaendelea
View attachment 3174277
Screenshot_20241211-111230.jpg
View attachment 3174276
 
Mmh ulichoandika ni technical sana na professional ingawa pia hujafafanua jinkama umetoa wazo tu ambalo halina mwanga wowote ule sio mtu wa professional au layman hawezi kuambulia kitu chochote.
 
Sasa katika kufuatilia kidogo nikaona kama mambo haya ni makubwa kidogo Kwa watanzania nikawa nimepoteza.

Sasa siku Moja katika pitapita zangu huko Upwork niliona kazi inatangazwa kufuatilia Ile kazi na mfano wake wa Ile kazi. Ndipo nikatambua kunakitu tunafail. Kazi ilikua niya simple animation kuhusu mambo ya wanyama. Nilipagawa Kuona namba kubwa ya watazamaji kwenye akaunti iliyoko huko YouTube Kwa mwaka mmoja tu. Hivyo hivi Sasa nimeona wimbi kubwa la wazungu wakifungua akaunti za aina Ile Kwa wingi huku video za animation Zinazobamba ni hizi za wanyama wa kwetu huku afrika

Inaendelea View attachment 3174320View attachment 3174321
Screenshot_20241211-115153.jpg
View attachment 3174323View attachment 3174322
 
Mmh ulichoandika ni technical sana na professional ingawa pia hujafafanua jinkama umetoa wazo tu ambalo halina mwanga wowote ule sio mtu wa professional au layman hawezi kuambulia kitu chochote.
Mkuu taratibu utaelewa tu. Mkuu
 
Hivyo nimeona hii fursa inaweza ku mlenga mtanzania yeyote. Hivyo ningeweka wazi Baadhi apps zinazo weza kufanikisha swala Zima la animation ni

Kwa 2d animation
Tumia ibis paint au flipclip

Kwa 3d animation
Tumia Prisma 3d Kwa animation na modelling
Harafu tumia nomad+ au sculpt 3d Kwa sculpting

Hivyo ningependa kutumia Uzi huu tupea taarifa za ndani kuhusu wanyama wetu. Maana nimeona wazungu video zao nyingi Zina lack Baadhi ya sifa za wanyama.
 
Na tunaotaka kujifunza 2d na 3d animation tunaanzia wapi
 
Mimi nilisha wai kuwa na idea mfano Mechanic 97 wa ya kwako nikaipeleka kwenye Taasisi Fulani ya serikali inayofadhili start-up tech hapa Dar,wakanikataa kwenye hatua za awali kabisa kupitia email .

Nilishaanga kwakeli , hawakutaka hata nifike kwenye hatua ya pitch presentation ili ni waonyeshe program yangu itakavyo fanya kazi .

Sasa nipo ñawasubiri hao waliopita kwenye mchujo na kuwa washindi nizione hizo projects zao zunatija kiasi gani kwenye jamii ,naona wanawaficha hawataki kuwaonyesha.

Inamaana mpaka start-up tech nazo inapidi uwe na connection, watoto wa maskin tutatoboa kweli?
 
Sijuh kuchora
Kama hivyo 2d achana nayo focus kwenye 3d na Ina vipengere kama vitano.

Kuna 1.modelling
2.sculpting
3.texturing
4.rigging
5.animation

Tumia blender software kama unatumia PC

Tumia Prisma 3d na nomad+ apps kama unatumia simu au tablet
 
Noma sana wanataka kitu kiwe kina wasifia Wao ndio wakisamini.
 
Kama hivyo 2d achana nayo focus kwenye 3d na Ina vipengere kama vitano.

Kuna 1.modelling
2.sculpting
3.texturing
4.rigging
5.animation

Tumia blender software kama unatumia PC

Tumia Prisma 3d na nomad+ apps kama unatumia simu au tablet
Shukrani ntazingatia mkuu
 
Back
Top Bottom