IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD, ni kampuni iliyo sajiliwa kishera chini ya BRELA.
Kampuni inajihusisha na:
1) Ushauri wa kuanzisha, kukuza na kupanua miradi ya aina mbalimbali katika mambo ya: uandishi wa mipango ya biashara (business plan writing), kuandaa mahesabu/nyaraka za kibiashara nk. Pia kuandika mapendekezo ya miradi mbalimbali (Project proposals), kuandaa ripoti za kazi, kufanya tathmini na maendeleo ya mradi, kupambanua mawazo ya kibiashara na ya uwekezaji wowote, kutafiti uwezekano wa kuhitajika na kuuzika kwa bidhaa fulani, na Mambo mbalimbali ambayo mwekezaji yeyote; mdogo au wa kati anahitaji kufanyiwa ili kuleta tija ya uwekezaji wake unaoanza au ambao tayari unafanya kazi. Pia tuna andaa nyaraka za usajili wa kampuni na NGOs na kusaidia katika zoezi la usajili wa taasisi hizo.
2) Kampuni inatafuta na kusupply bidhaa za iana mbalimbali kwa yeyote; mfanyabiashara wa rejareja, makampuni, shule, vyuo, makanisa, taasisi mbalimbali, mahoteli nk. Bidhaa hizo zaweza kuwa za nje au zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Tuna amini kila mhitaji wa huduma za kampuni yetu atanufaika na huduma zetu kwani
a) Tuna utaalam (wataalamu) wa kutosha juu ya ushauri wa miradi na mambo yoyote yanayo endana nayo
b) Tunahakikisha bidhaa tunazo tafuta zinatoka katika vyanzo sahihi, gharama nafuu, muda mfupi, bidhaa bora na imara na kukufikishia mahali ulipo kwa mkataba mzuri Bila wewe kuhangaika.
c) Pia kampuni inatoa huduma za usafi wa maofisi na mazingira katika taasisi mbalimbali.
Mkataba wetu utakuwa wazi na wa kisheria; kulipa awali au baada ya kufikishiwa bidhaa ni makabaliano baina yetu; kampuni na mteja.
AGIZA bidhaa yoyote, nasi tutakutafutia na kukuletea popote. Tupe nafasi ya kukushauri na kukuandalia nyaraka mhimu wa kimradi/kibiashara kwa niaba yako.
Wasiliana nasi kwa kimiconsultancy@gmail.com; Tutembeleee KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED