cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
Habar wana nzengo,
Kumekuwa na matamanio makubwa sana kwa wananchi kutaka kuona mabadiliko ya kiutawala kwa kuamini ya kwamba utawala uliopo madarakani hivi sasa unakiuka misingi ya dwmokrasia, haki na utawala bora
Sasa basi kupitia mitazamo hiyo ya wananchi, leo hii nimeamua kuja na hoja yangu ambayo kwa kiasi flani naona kama ina mashiko.
Kuuondoa utawala uliopo madarakani kupitia vyama vya upinzani vilivyopo hivi sasa ni ndoto za alinacha kwan kwa sasa tanzania hakuna vyama/ chama chochote cha upinzani kwakuwa vyama vyoto vimepoteza mvuto japo baadhi ya vyama vina raslimari watu
Sasa ili serikali iliyopo madarakani iondoke ni vyema kuwe na combination ya baadhi ya wana siasa machachar na wenye mvuto na pia wawe na nguvu ya ushawishi na waanzishe chama kipya kabisa hapo ndio wananchi wataona mabadiliko
Miongoni mwa combination ya wana siasa hao ni kama
Tundulisu
Dr slaa
Godbless lema
Mchungaji msigwa
Zito kabwe
Mdee
Bulaya
Matiku
Polepole
Mnyika
Kafulila
Usajil kama wa kassim majaliwa
Usajil wa job ndugai
Wengine mtaongezea na nyie uko
Kupitia chama kipya na muungano wa hao viongoz upo uwezekano mkubwa wa kuwakaliwa hao makijani kwenye sanduku la kula
Chadema sio chama kibaya cha upinzan ispokuwa kina fail kwakuwa watu hawana imani nacho kupitia kiongozi wao mkuu
Wengi wanaamini kama chadema ni chama cha familia, wengine wanaamini ni kama cha ukanda wa kaskazin, pia wengine wanaamin kama ni wabinafsi sana
Hivyo bas kutokana na watu kuamini hivyo hao wapinzani watasubir sana
Wanasiasa ambao mmebahatika kusoma uzi wangu, bebeni hiyo i dear bilashaka mtakuja kunishukuru
Sio lazima sana mtembee na hiyo combination ya wana siasa nilio waainisha ila point ya msingi ni kuunda chama kipya chenye wanasiasa wenye mvuto