tuungane kupinga uzazi unaotokana na infidelity


ni kweli, lakini tuseme vile ambavyo vinatushtaki, kama mtu unajisikia vizuri hakuna haja.

Thanks afrodenzi, afrodenza anataka kulala. usiku mwema.
 
ni kweli, lakini tuseme vile ambavyo vinatushtaki, kama mtu unajisikia vizuri hakuna haja.

Thanks afrodenzi, afrodenza anataka kulala. usiku mwema.

yap hapo nakubaliana nawe kabisa Afrodenza..
kama nafsi inakusuta ni borea useme ili uwe na amani..

nway usiku mwema dear..
 
Apo juu hamjaamka (AD na tabutupu) maana Klorokwini kaenda kumtibu mtu?
 
nitaanza na huyu husninyo, halaf atakuja kuwahadisia wenziwe. mimi ni mhadhiri maarufu sana wa haya masuala.

ha ha ha ha!
Mi mwenyewe mhadhiri. Nitakufundisha na wewe. Haki sawa hapa. Sio mi nibane we uachie.
 
ha ha ha ha!
Mi mwenyewe mhadhiri. Nitakufundisha na wewe. Haki sawa hapa. Sio mi nibane we uachie.

heheheh, umekuja. mhadhiri wako kasema yupo lab no. 9 anakusubiri!!. ujumbe ndoo huu maelezo mengine lab.
 
Hapa kuna mjadala au mhadhara?
 
heheheh, umekuja. mhadhiri wako kasema yupo lab no. 9 anakusubiri!!. ujumbe ndoo huu maelezo mengine lab.

mwambie afanye maandalizi ya awali. Nikija hakuna kupoteza muda.
 
Nimeiona tena kwa bahati hii thread. Majuzi siku ya mtoto wa Africa tulipata tenda ya kutoa huduma za IT kwenye kongamano kwa hiyo nikawepo ukumbini. Sikuwa na kazi nyingi kwa hiyo nikapata nafasi ya kusikiliza mjadala. Mwezeshaji akauliza washiriki kwamba imagine ungekuwa mtoto mdogo na ikawa ni lazima upate mzazi wa kambo, ungependa mzazi huyo awe ni baba au mama? Washiriki karibu wote (ukumbi ulikuwa na watu zaidi ya 60) wakataja kuwa bora baba wa kambo. Kisha akauliza kuhusu nani yuko tayari kulea mtoto wa kambo. Ajabu wanaume wote wakasema hawapendi na hawataki kulea mtoto wa kambo ('Bao apige mwingine kulea nilee mie!). Wanawake wakasema wako tayari kulea mtoto wa kambo lakini awe tu yule aliyezaliwa kabla ya ndoa na si wakati wa ndoa yake na baba mtoto. Nikajifunza: kumbe watoto wanaozaliwa katika hizi infidelity maskini ya Mungu wangependa walelewe na baba japo wa kambo (labda ili wasitenganishwe na mama zao), lakini wanaume (baba watarajiwa) hawataki mtoto wa kambo! Wanaumia sana kihisia hawa watoto. Uzazi wa infidelity hapana hapana hapana haufai hata kidogo.
 
Kama kuna mtu anazaa kwa makusudi mimi namuita mbinafsi. Hamna raha kama mtoto kulelewa na wazazi wawili. Maana kuna kipindi watoto wanakuwa na discussion shuleni mtoto yambidi ajieleze mimi nakaa na mama tu; kwa wanaoishi na baba na mama kambo pia ni kazi maana kuna kuteswa. Wenzie wanasimulia experiences za baba zao; mtoto anajiuliza what happened ninaishi na mama tu? Tunakubali kuna bahati mbaya ila kuna tunaowafahamu mitaani wanzaa na waume za watu just because ni wanaume wenye pesa; hawasumbui akili zao kuhusu effect ya kisaikolojia itakayo mpata mtoto. Akishajengewa nyumba na kununuliwa gari na mume wa mtu basi, anaona mwanangu ana kila kitu. Kumbe hana father's love.




 

Naona tuuite ufisadi wa uzazi!

But,takwimu inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume,sasa wale wanaobaki si nao watapenda kuzaa?Je,wanawake watakubali waolewe zaidi ya mmoja kwa mume mmoja?dini zetu je?so,lazima wengine watakuwa single mothers,watazaa na nani?(infidelity)!naona ugumu japo ninapinga.Cha msingi tusimhukumu mtoto ambaye ni zao la infidelity.
 

Mheshimu mwanadamu bali Muumba ni lazima tumwogope sote.........................
 


Surely and without a doubt....................hii ndiyo tiketi ya kupata mimba zisizo na mipangilio.........
sikia kama unataka kwenda pekupeku ( hakikisha unatoa kabla maji hayakumwagika)

kabla mwanaumme hajaanza kushughulika yale mawazo tu kuwa yupo njia moja inatosha kwa mbegu kuanza kububujika..................pale ambapo sasa zinasikika kuwa zinaanza kumwagika basi it is a case of locking the stable after the horses have bolted...................mbegu zinakuwa zimetinga wavuni na nanga zimepandishwa tayari kwa safari ya kulisaka yai lilipo na kupachika mimba ya uhakika bila ya zengwe.....lolote lile..............kondomu..........yes it is much better though not a perfect solution...............the best solution remains abstinence...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…