Tuungane na Burundi tuifaidi Congo

Vinchi vidogo namna hii havitakiwi kuungana navyo kwa makubaliano vinatakiwa kutekwa.

Unahamisha wanawake wote wanakuja kuolewa Tanganyika na wanaume wote wa kule wanakuja kuoa wazaramo na wamatumbi ili kuwaondolea vinasaba vya Burundi baada ya hapo una breed ya wamatumbi Burundi ambao hawatakuwa na mawazo tena ya Nationalism.
 
Hili jambo mbona lisambaa Sana? Nifafanulieni ndugu zangu, yaani Mimi natamani tuungane kwa kweli. Tkiungana Warundi hatagombana kwa sababu watakuta makabila zaidi ya 120 huku kwetu,sasa watashindwa wagombane na wangapi watatulia tulii.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mm natamani tuungane na Rwanda kwasababu za kiuzinzi. Kuna wadada na wakaka wazuri Sana kule
Sasa wewe ni SEXLESS. Hao wadada utawafanyaje au wakaka watakufanyaje na wewe huna kifanyio/kifanywio!!??
 
Wajamaa mna tamaa ya kupora nchi za watu halafu zinawashinda. Zanzibar imewashinda.
Sasa hivi Burundi itanung'unika KUMEZWA na Tanganyika halafu Mfaransa atalalamika lugha na Influence yake inapotea.

Kabla hatujashtuka Warundi waliojazana hapa Nchini wataanza Uprising na kuchinja Warangi Wanyaturu Wairaqwi na Wamachame wakidai ni asili za Kitutsi.

Ghafla tunajikuta kwenye makambi ya Wakimbizi huko Kenya tumekondeana tumebaki midomo tu ya kuimbia Singeli za matusi badala ya kuifaidi Congo.
 
Bora muungane na Burundi muachane na Zanzibar lakini.
 
Hakuna haja ya kuungana na yeyote, unless unatafuta ukandamizaji. Burundi haijazuia Tanzania kuifaidi DRC. Kushindwa kwetu kunatokana na madhaifu yetu ambayo hayawezi kurekebishwa kwa kuungana na Burundi!!

Burundi na DRC wote ni wanachama wa EAC!!
 
DRC ya Tshisekedi ni ya wakenya, amesahau nani alimuondoa M23 wa awali
 
Nyani hucheza pamoja
 
Una fikra chanya wewe,Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Hayo mawazo siyo,ni ya kibaguzi kabisa.
 
Ingekuwa Rwanda sawa tufaidi mademu wa Kitutsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…