Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
HABARI WANA JUKWAA
Nmepitia ukurasa wa Mange Kimambi instagram kuna kampeni kaianzisha ya kumchangia Mh Lissu gharama za matibabu.So kwa ataependezwa juu ya hili apitie ukurasa wa huyo dada kupata link za kuweza kuwasilisha michango yetu.
Leo Jumapili kumbukaYeye mwenyewe anahitaji michango kujikimu!
Lowassa na mbowe watoe pesa haraka ,,Lissu akatibiwe,,,huku mchango ukiendelea
Lowassa hawezi kutoa hata senti tano kwa Lissu,alimtukana sana na kumdhalilisha ndio kwanza anaombea afe kabisa.Chadema wazungumze na Ndugu Hamis Mgeja ndio Mtu pekee anaemmudu Lowassa Kwny kumshawishi kutoa Pesa, rejea Fedha za kampeni za Wabunge na Madiwani wa Ukawa 2015
Pamoja na kuchangia Gharama za Lissu ambazo ni ghali sana pia uangaliwe namna bora ya kupunguza Gharama zisizo za Lazima!
Kuna Kundi kubwa la Wabunge wa Chadema wamejirundika kule Nairobi kazi ku jirekodi na ku post Mipasho kwa Ndugai huku wakihudumiwa kwa michango ya Lissu Eti wanamuuguza Lissu, ni bora wangejazwa Ndugu zake badala ya Wanasiasa
You are very stupid and don't mislead people here..Si uandike watu wakijiunga kwa app yake ambayo lazima ulipie kuona anayorusha.. ndio anadai akipokea pesa hizo za watu kujiunga atatoa zote ziende kuchangia kumtibu Mh. Lissu
Walioratibu kushambuliwa kwake, wamezua tatizo na hawataki hata pesa ya umma ifanye kazi hiyo.Lowassa na mbowe watoe pesa haraka ,,Lissu akatibiwe,,,huku mchango ukiendelea
toa povu hapa na mange wakoYou are very stupid and don't mislead people here..
1. Kwanza kuchangia matibabu ya Lissu haupitii kwenye applc ya Mange...
Kuna namna ya kuchangia kupitia Akaunti ya Chadema na kwa walio nje wana utaratibu wao ambapo alichofanya huyu dada ni kutoa maelekezo ya namna ya kuchangia na kuhimiza watu wachangie. Hakuna senti inayopita kwa Mange.
Muongo mkubwa weee chokochannel..!!
2. Mange amesema kwa sababu anawekewa kauzibe na tcra watu washindwe kuingia kwenye app yake. Amewapa watu njia nyingine ya kuingia na akasema pesa atakayopata kupitia app yake, asilimia 10% atakuwa anawapa CHADEMA ili kuimarisha ulinzi wa Lissu. Hajasema pesa yote atakayopata kupitia app yake atawapa CHADEMA..
Shame on u.