Twende kwenye uharisia sasa?Mkuu jifunze kusoma alama za nyakati,
Huko Duniani kwa wenzetu wanaoishi viongozi wao wanajiuzulu.
Hata kama angekuwepo jiwe kauli zake mngeishi nazo tu
Hebu tazama kauli za magufuli wakati huu zingekuwa hivi👇
1:"kwani mimi hiyo vita nimeileta mimi"
2: bakini na mavi yenu huko nyumbani
3:asiyefanya kazi na asile(ukweli mchungu)
4:tetemeko sijalileta mimi😀(so funny)
Uharisia ww ni Msukuma Stone team???Twende kwenye uharisia sasa?
Tutozwe tu Tozo kila kona ama ?
Twende kwenye uharisia sasa?
Tutozwe tu Tozo kila kona ama ?
Magufuli alikua anabana matumizi na anasiamamia wale anaowateua Ili wafanye kazi mana anawalipa vizuri. Sasa unawalipa watu vizuri halafu unawaacha wanafuja fedha za umma. Magufuli alikua anazuia MPAKA pesa za maadhimisho uchwara ya uhuru Wakati Nchi ni maskini. Anasimamia pesa zake zinajenga Barabara. Hakuwa na mzaha na wahuni. Tanzania bila kuwakoromea na kuwatengua wanajisahau na Kuwa walevi Wa pombe na madaraka wakishapata pesa.Mkuu jifunze kusoma alama za nyakati,
Huko Duniani kwa wenzetu wanaoishi viongozi wao wanajiuzulu.
Hata kama angekuwepo jiwe kauli zake mngeishi nazo tu
Hebu tazama kauli za magufuli wakati huu zingekuwa hivi[emoji116]
1:"kwani mimi hiyo vita nimeileta mimi"
2: bakini na mavi yenu huko nyumbani
3:asiyefanya kazi na asile(ukweli mchungu)
4:tetemeko sijalileta mimi[emoji3](so funny)
Wana JF.
Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo.
Nirudi kwenye mada.
Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta makeup anarudi kwenye uharisia wake.
Hivi sasa mambo hata hayaeleweki, serikali inakamua hadi tone la damu. Hakuna hata mtu anaweza kusema wananchi wapunguziwe ukali wa maisha. Nchi inaendeshwa na wahuni wengi wenye masilahi binafsi, wasio jari maisha ya mtanzania.
Tunakoelekea tutashindwa kujikwamua. Kila kitu kinapanda bei, Mitaji inasinyaa na tozo zinawekwa kila mahari.
Mtanikumbuka kwa Mazuri.
Ushauri kwa serikali. Masiangalie tu mnachokusanya, angalieni mnavyotukamua Raia. Hatuna hamu hadi sasa.