Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
ELIMU SAHIHI YA SIASA IKO NDANI YA VITABU HUSIKA TUUTOKOMEZE UCHAWA KWA KUTOA ELIMU ILIYO SAHIHI KUHUSU SIASA
Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikiwa Usingizini nikiropokwa Kama vile nimevuta Bangi Tena kile kijiti Cha Arusha Meru milimani. Nikikemea Wasomi wasiokuwa na faida waliosoma kwa Kodi za Mafukara na baada ya kupata vyeo kugeuka kuwa Machawa Nikawaaanzishia timbwili.
Nakumbuka Tarehe 07/05/2024 Professor Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi Kwa Sasa ni Waziri wa Sheria Alisema Elimu ndiyo Msingi wa kila kitu. Mwisho wa kunukuu. Kama nchi tutaweza kufaulu kutokomeza Wanasiasa Malaya Malaya waliokithiri karne hii kwa kutoa Elimu sahihi mbele ya Jamii na sio kukaa kimya.
Mara nyingi Sisi Wasema kweli huonekana Kama Wavuta bangi na watu Wakorofi kwa ule Ukweli wetu mbele ya Jamii.
Kwa vile tuna Ahadi kwa Mujibu wa katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 5(8)(9) ibara 07 ibara 08(1)(2)(6) ibara 15 yote ibara 12(1)(a) ili kwenda uk 152 na kuusoma wote Ilani ya CCM ibara 110(c) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 18(a) ibara 19(1) ikisomwa na ibara 09 a b f na h tutaendelea kusema mpaka watu wabadilike wawe na tabia njema.
Kama kusema Ukweli kunanifanya nionekane mkorofi na mvuta bangi Basi Mimi navuta bangi Tena ya Arusha.
Mheshimiwa Rais Albert John Chalamila Mheshimiwa Rais wa Mkoa wa Dar es salaam Nakumbuka Tarehe 15/08/2024 Akiwa soko la makubuli Jimbo la Ubungo. Akiongea Akiwa ni Muwakilishi kiutendaji wa Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Alisema Kama ukisikia juu juu (Utasikia) Chalamila Mkorofi saana Anavuta Bangi
Tena (bangi yenyewe) ya Arusha, lakini Kama Bangi hiyo ninayoivuta inaniambia kwamba ( mtu Mwizi ) huyo ni Mwizi, hiyo ni bangi nzuri.
Na Kama Bangi ninayoivuta inaniambia huyo ni mla Rushwa, hiyo ni Bangi nzuri. Lakini Kama Bangi ninayoivuta itavunja Haki za mtu Mwenye Haki na kumnyang'anya (Mwenye Haki) na kumpa (mtu) mwingine ( Asiye na haki) hiyo siyo bangi timamu ambayo ninalalamikiwa na watu. Mwisho wa kunukuu.
Tusome Kitabu Cha Standing Order for the Public Service 2009. Pursuant to S. 35(5) of The republic service act cap.298 uk 20 kifungu B 15(1)(2) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 61 uk 58, uk 33 ibara 34(4) uk 34 ibara 35(1). Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akiwa katika kikao Cha Maafisa Ugani na Wana Ushirika ikulu Chamwino Nakumbuka Tarehe 10/08/2024 Alisema.
Ibara ya 35(1)( ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) inasema kuwa shughuli zote za Utendaji za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitatekelezwa na Watumishi wa Serikali kwa Niaba ya Rais.
Mwisho wa kunukuu.
Natamani Mheshimiwa Rais atenge siku ya kusikiliza watu pale Ccm Lumumba ili watu tumfikie kwa ukaribu tumwelezee Baadhi ya Viongozi wanafiki na Wanasiasa Malaya Malaya wanaofifisha jitihada zake za kuwainua Watanzania. Kiuchumi. NI Mara ngapi nasema najuwa fedha zilipo ila nataka tukae meza moja na Viongozi wakuu ili niwaonyeshe mikakati.
Mbona napuuzwa sisikilizwi huku watu wakitangaza Serikali ni sikivu. Mbona kwenye Mambo ya kuwainua Wanaccm haiwi sikilivu na Serikali yenyewe ni ya CCM!? Wanasiasa Malaya Malaya wamejaa saana karne hii
Mfano tu. Mtu unamuonyesha Ilani Katiba Kanuni. Na miongozo Na Taratibu Zinavunjwa Unamuonyesha mpaka ukurasa ili ajiridhishe Ajabu Unayeonyesha Ukweli wewe ndiyo unaonekana huna maana Na yule Mtu Mjinga Mwenye kutenda Maovu ndiyo anaoneka kiongozi Bora na anapewa hata Piki piki pongezi kwa uovu wake dhidi ya Jamii.
Hizi ndizo tabia konki za kimalaya Malaya Kinachoniuma Na kunisikitisha tunao watu na Viongozi wasomi wenye Mi PhD ya kutosha na Mi degree ya kumwaga ambayo waliipata shuleni na vyuoni ili ije isaidie Jamii .
Ajabu tunao wategemea kuiokoa Jamii kwa Elimu zao na ndiyo wako mstari wa mbele kuhimiza watu wazidi kuwa Machawa Imani zao kwa Mwenyezi Mungu ziko wapi !?
NI kiongozi gani kwa kutumia katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 15 yote na uk 152 wote anatumia kuwahimiza watu na kuwapa Elimu ya kuacha uchawa. Hizo Elimu Zina faida gani ikiwa wasomi Hawa wameamua kuwa upande wa Shetani kuhimiza janja janja, utapeli, uongo uongo na figisu figisu? Uzalendo wao kwa nchi ukoje.
Twawezaje kuwaheshimu kwa tabia zao Baadhi za uovu? Tabia zao mbaya mbaya za kuto kuzingatia Ilani, katiba kanuni miongozo na Taratibu zetu ndani ya nchi zawezaje kuleta tija kwa Watu Mafukara ambao wamekula wakila mlo mmoja tokea nchi ipate Uhuru?
Ni lazima kila mmoja wetu aguswe na Hali hii na Kisha achukuwe nafasi akemee Tabia mbovu za Baadhi ya Wasomi za kutokutumua Elimu zao kikamilifu na hivyo Wasomi hao kuishi wakijificha karibu na Viongozi wa Dini ili kuficha Uovu wao huku wakiitishia Jamii kwa majigambo ya Elimu kubwa kubwa zisizo kuwa na faida kwa Jamii wanayoitumikia..
Mfano tu Tukisoma katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 5(4) inatupa ruksa ya kwenda kusoma Kitabu Cha Binadamu na Maendeleo Cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uk 17-21 Mwl Nyerere Anatupa Somo Chama ndicho kinachounda Serikali na kuisimamia Mwongozo wa CCM 1981 uk 103 ibara 108-109 imeonyesha Wazi kuwa Serikali ni Chombo Cha Chama Serikali tunayoisimamia tunaielekeza iwainue watu wawe na maisha Bora.
Kwa Nini Maisha Bora hayo hayaonekani Miongoni Mwa Wanassem wenyewe tokea Shina , Tawi , kata , na Jimbo!? Wasomi tulio nao wanao tutishia mivyeti mikubwa na kujitamkisha neno Mwenyezi Mungu hawayaoni haya? Ngazi hizo Zina changamoto nyingi Hakuna vyoo, Hakuna Ofisi za kisasa, Hakuna maji. Viti watu wanakalia mabenchi. Mfano posho Katibu Tawi analipwa Tshs 5000 kwa Mwezi ila wajumbe wengine hawalipwi hivyo hivyo kata.
Katibu kata analipwa Tshs 10 000 kwa mwezi wengine hawalipwi Kisha tunawataka wawe Waadilifu na Waaminifu huku wakiwa wanasashuhudia Wasomi Baadhi wasiokuwa Wazalendo wakipiga fedha na kjjilimbikizia Mali na bila hata kuchukuliwa hatua huku wasomi wanaojifanya Waadilifu Na Waaminifu waliokula kiapo Kuilinda Kuihifadhi.
Na kuitetea katiba wakishindwa kutumia ibara 26(2) kuchukuwa hatua stahiki huku wakiongezea watu ujinga wa Wajinga kujiona fahari na heshima kujiita chawa. Tunanufaika na Nini kutokana na mijielimu yenu wakati hamuitumii kumtukuza Mwenyezi Mungu Bali Shetani? Shekhe Walid Alhad Omar Kawambwa. Shekhe wa Mkoa wa Dar es salaam. Nakumbuka Tarehe 14/08/2024
Akiongea katika Uwepo wa Mufti Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana Alisema Mkitaka mkasifiwe huko kwa Elimu zenu nendeni mkatafute tabia (njema) ya juu. (Mkipata tabia njema za juu) Elimu (yenu) itaonekana. Na hata siku moja usije ukawatangazia watu Mimi ( hapa) Nina Elimu nyingi hata Kama umemaliza vitabu vyote vya Dunia. Hata Kama umewasoma Mashekhe million moja , usitoke mbele za watu ukasema Mimi Nina Elimu saana kuliko Fulani na Fulani.
Nenda kawatangazie watu tabia zako (njema) Nenda kawaonyeshe watu kazi ya Elimu yako nayo ni kutsngaza tabia (njema) Elimu iache yenyewe iseme Mimi Elimu Mwenyewe Fulani Wala usiseme Mimi Nina Elimu
Kaiache Elimu ikutangaze Mimi Elimu ya Bhalagha Mwenyewe yule. Mwisho wa kunukuu. Tuache Elimu itutangaze Tusijitangaze.
Kama Wanasssem kushinda na njaa kwenye nchi ya kijamaa huku wanao waongoza wakiwa na vipato Vikubwa na hawachukuwi hatua dhidi ya walalamikiwa ya kuwa ndiyo Elimu zenyewe Basi tuache Elimu zitutangaze. Tusome Mwongozo wa CCM 1981 uk 45 ibara 58. Kipekee Tukisoma Kitabu Cha Mwongozo wa CCM 1981 uk 80 ibara 92 Maandiko yanasema Watu wameanza kuthamini Zaidi vitu kuliko utu.
Na tamaa ya kujipatia Mali bila ya kuitolea jacho inaenea. Matukio ya wizi wa Mali ya Umma yameongezeka .
Lakini (Jambo) lililo baya Zaidi ni kuwa Mwizi wa Aina hiyo anapo gunduliwa Baadhi ya Wananchi badala ya kumfichua au kulaani kitendo Chake (wananchi hao) humsifu na kumhusudi (mtu Mwizi badala kumlaani)
Wakati mwingine (mtu) mvivu na mtegaji kazini hutetewa hata na vyombo vya chama vyenyewe.
Mwisho wa kunukuu.
Ipo haja ya kusisitiza Chama kuchapisha vitabu vyote vya chama na kuvisambaza ngazi zote ili kuondoa tabia ya kijinga ilijikita mizizi kwa Sasa ya mtu yeyote Mwenye fedha akipata cheo huanza kuwa anajiropokea mijineno hovyo huku wanaomsikiliza wakipokea mijineno ya kijinga jinga wakiamini ndiyo maneno sahihi ya Chama kumbe sivyo.
Tunaliangamiza Taifa kwa Ubinafsi wetu wa kuficha vitabu na kuwafanya Wanassem walio wengi wazidi kuwa Wajinga huku wakijiinua hata kumpinga mtu aliyesoma vitabu huku wao wakiwa empty kichwani wakiwa hawana uwezo wa Kujenga hoja kwa mujibu wa vitabu vya Chama.
Turudishe Nidhamu ya Chama kwa kusisitiza Wanassem kusoma na kuchukia uchawa uliowapotezea mwelekeo sahihi kuhusu Itikadi ya Chama. Nakumbuka Tarehe 08/12/2023 Padre Dkt Charles Kitima Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania TEC Alisema Ka nidhamu Fulani kanaweza kakaingia kwa njia ya Elimu.
Mwisho wa kunukuu.
Tutoe Elimu sahihi ya siasa na Uzalendo ili ifike mahali kila Mwanasiasa ajihisi katukanwa tusi kubwa la nguoni kuitwa chawa. Nikashtuka katika Ulimwengu wa kiroho huko ndotoni nikiwa kimya.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa kahinga