Trekta moja sh 20 millions sasa kwa kijana yupi ambaye ametoka shule ataweza kununua? Au unataka walime na jembe la mkonoKwani wamekwambia wanashindwa kulima sababu matrecta hakuna
Inavyoonyesha tu wewe si mkulima ma tracta hayajawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo
Tatizo lipo kwenye masoko ya hizo bidhaa za kilimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay.Mi sipo chuo nipo kitaa tu
Mkuu fanya utafiti tracta halijawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimoH
Trekta moja sh 20 millions sasa kwa kijana yupi ambaye ametoka shule ataweza kununua? Au unataka walime na jembe la mkono
Tembo mmoja thamani ni zaidi ya trekta elfu moja za horsepower mia mia za kichina.Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.
Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Hakuna Suluhisho Zaidi Ni Uzwazwa
Tuna Vyanzo Kibao Vya Fedha Kwann Tutaifishe
Malizetu Za Asili
Huyo Tembo Na Nyumbu Unajuwa Anaingiza Bei Gani Kwa Siku Kila Mtalii Anapo Fungasafari Kuja Kuwaona
Unapo Fikiria Jambo Tizama Hasara Na Faida Kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
So!!!!!!?????
Tunakwama wap
Hizi ndio info ninazozutafutaMkuu fanya utafiti tracta halijawahi kua kikwazo kwa vijana kujikita kwenye kilimo
BTW hivi unaijua SAGCOT ,SAGCOT kupitia benk ya kilimo wana billions of money kwa ajili ya kukopesha wakulima hususan vijana ila ndio hvo wakopaji hakuna so kama kuna vijana wanakwama sababu ya trecta watembelee hizo office za SAGCOT kupata mwongozo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nini sasa?? Hakuna vitendea kazi ndo maana kilimo kinakua kigumu