HahahaKwa idadi ya wezi ilivyokuwa kubwa nchini ....usitarajie lolote.
Muarabu ana mafuta lakini wawekezaji ni wazungu ambao hao hao ndo wanatengeneza magari.Naingalia hii CNG inavyotesa wenye vyombo vya moto na kupigwa vita na wenye petrol station nabaki kusononeka tuu