TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. Give us approximately 90

TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. Give us approximately 90

Mabel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,276
Reaction score
684
"TUVUMILIE, tuna marekebisho muhimu tunafanya kwa maboresho. Give us approximately 90 minutes. Tuandikie: support@jamiiforums.com ... - Uongozi JF." hivi ndivyo JF web ilikuwa ikiniambia mda mfupi uliopita

Malaria Sugu alikuwa anatafuta ofisi za JF, leo amezipata nini maana hii message imenipa kiwewe mara nikafikiri labda JF imepigwa burn by Gov.

Nina Kampuni ya ulinzi JF tuwasiliane ili tusaidiane kuzuia hujuma, ila hatutumii silaha, maana kwenye mafanikia na hujuma pia zinaweza fanikiwa.
 
Alafu icho kibadniko kiwe kinaspecify kuwa mko down from what time to what time jamani
 
Alafu icho kibadniko kiwe kinaspecify kuwa mko down from what time to what time jamani

Nakubaliana na wewe, 90mn haijitoshelezi. 90min from 14:00 (mfano)
 
Nashauri tuifanye kama "WIKILEAKS"
Unajua yanayomkabili mwenye WIKILEAKS? kesi ya ubakaji iliibuka mara moja kule Sweden , Mungu bariki kesi kama hii isije ikaibukia kwa mmiliki wa JF
 
Back
Top Bottom