Tuvunje ukimya ili kupambana na rushwa ya ngono

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731



 

Attachments

  • 1593606858851.png
    121.4 KB · Views: 1
Kuna watu ni MA-DC sasa hivi kwaajili ya rushwa ya ngono; hata huyo Mkuu wa takukuru akiingia Kwenye mtego wa ngono anakuwa kondoo tu.

Usifanye masihara na hiyo kitu ni balaa hasa kwa rijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…