Vijana wa Sasa ksema ukweli hawjitambui ni muhimu Kwa wazazi na wazee kuacha kutupa lawama tuu! Bali waanze kuongea ukweli. Ili kuokoa kizazi hiki kilicho athiriwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Kama tunavyojua maendeleo hayaji Kwa kuinua uchumi pekee.kama vijana wataachwa nyuma kimaadili tunajenga kesho ipi yenye maendeleo!.
Kwa mini mmeacha vijana wajilee wenyewe! Mimi nashindwa kuelewa labda mmesahau wajibu wenu kama wazazi au walezi.
Hebu fumbueni macho yenu muone haya madhara alafu muifikirie kesho itakuwaje?
Ni Rai yangu Kwa wazazi, walezi na wazee kuamka mlipo lala na kuongea na vijana Ili kuwakomboa.