adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Wakuu.
Kama heading hapo juu inavyojieleza.
Kuna memba wengi sijawahi kuona wameanzisha uzi humu zaidi ya kuchangia tuuuu.
Wengine wanachangia na kutoa ushauri mzuri ila wengine wachafuzi wa lugha na kashfa kibao mixing na wivu.
Tumepata wasaa hapa tuwaanike ili na wao washushe vitu vyao humu.
Naamini tuna mengi ya kujifunza kwao hivyo basi wasijifiche nyuma ya keyboard tu na kuwa wachangiaji.
Kuna mmoja ni msela wangu huwa anaquote vizuri sana na ndio huwa wakwanza!si mwingine joseeeverestt.
Tunasubiri uanzishe uzi wako hata siku moja na si tuwe wa kwanza kuquote.
Na wengineo mtawajazia