Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Wakuu.
Kama heading hapo juu inavyojieleza.
Kuna memba wengi sijawahi kuona wameanzisha uzi humu zaidi ya kuchangia tuuuu.
Wengine wanachangia na kutoa ushauri mzuri ila wengine wachafuzi wa lugha na kashfa kibao mixing na wivu.
Tumepata wasaa hapa tuwaanike ili na wao washushe vitu vyao humu.
Naamini tuna mengi ya kujifunza kwao hivyo basi wasijifiche nyuma ya keyboard tu na kuwa wachangiaji.

Kuna mmoja ni msela wangu huwa anaquote vizuri sana na ndio huwa wakwanza!si mwingine joseeeverestt.
Tunasubiri uanzishe uzi wako hata siku moja na si tuwe wa kwanza kuquote.

Na wengineo mtawajazia
 
Michango yangu kwenye mada zenu inatosha kabisa
Ni kweli nakuaminia kwa michango yako.huwa fikirishi sana.je ni vipi ukishusha thread yako si tutakuna vichwa sana kwa utamu
 
Ni kweli nakuaminia kwa michango yako.huwa fikirishi sana.je ni vipi ukishusha thread yako si tutakuna vichwa sana kwa utamu
Mi mvivu wa kutype na sio mpangiliaji mzuri lkn comments ni fupi ndo maana napenda kujadili kuliko kuanzisha mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…