Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tutafuteni hela ukiwa busy hata muda wa kuwaza mapenzi unapungua ukiwa huna hela kosa ukisema uongee utaambiwa muongeaji kama mwanamke walio wapole wengine hufanya Reason kabla ya kuchukua uamuzi.
plock i did take It as reference....If some of them understand this I think It might help at all!
 
Mnatupenda wapole sana halafu mnacheat na wavuta bangi, masela wanawapangisha foleni.

Hata hamjuagi mnataka nini, unampenda mpole sana unashoboka na mcheshi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mvuruganooo, uwiiiih
 
Niwacheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kikubwa
Pesaa ananipaa,
Kujunjanaa ananipatia mnoo.

Vinginevyo ningesema hanipendiii uwiiiiih.
Sijakusikia hebu ongeza volume..chawa wangu Joannah asikieπŸ˜‚
 
Mwanaume hutakiwi kuwa hivyo huo sio UPOLE huo ni Uzezeta, UFALA, UZWAZWA..

Mwanaume unatakiwa uwe romantic mfn mimi nina kauli za moja kwa moja yaani nikiwa naongea na mpenzi wangu maswala ya kutumia tafsida sina.

Mbili mim ni Extrovert hivyo story kwangu kama zote..

Tatu Mwanaume hutakiw kuendekeza hela.. kila kitu ukiombwa unatoa vingine unacancell ili mazoea yasiendelee sana. Awe anajipanga kabla hajakuomba hela za matumiz ya kijingajinga
 
Ule upole nakutulia sehemu ndio wanakua wanawaza sn ukimuongelesha hua anakasirika bilkuonyesha hisia.
Chakufanya plan nae muda muwe mnatoka nje ya makazi yenu iliaone mengine nje nasikukaa ndani tu daima.
Kingine ww uwe dereva wkt mwingine ilinae aweze changamka
 
Sijakusikia hebu ongeza volume..chawa wangu Joannah asikie[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanzoni nilihisi ananichora hanipendii, kumbe ndo alivyoo jomoneee.

Bas naona rahaaa na nilivyo mcharukooo bas rohoo kwatuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…