A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 126
- 268
Ndugu zangu ,tuwapende na kuwalinda wanyama wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa kuliwa basi fanyeni hivo .ila kuwaumiza wanyama kama hawajadhuru si jambo jema mfano huyo nyani hapo juu ameumizwa ili hali ana familia.Tutakula nini?
Ukitulia anakupita ukijifanya kumrushia mawe atakuonesha ukali wake.wanaingiza pesa kwenye maonesho,wanafugwa na chakula cha baadhi ya watu.Hivi wanyama kama nyoka wana faida gani?
Huyo kajeruhiwa na wanaotaka kumla, naye kuna wanayama anawala….. wewe ni kitoweo safi kwa simba.Wale wa kuliwa basi fanyeni hivo .ila kuwaumiza wanyama kama hawajadhuru si jambo jema mfano huyo nyani hapo juu ameumizwa ili hali ana familia.
Kwani wewe una faida Gani Kwao?Hivi wanyama kama nyoka wana faida gani?
Very good.l love u with no reason !Nampenda Nana wangu(paka) yaan nampenda mno[emoji3590]
Ila isiwe sababu ya kuwajeruhi wanyama ovyoHuyo kajeruhiwa na wanaotaka kumla, naye kuna wanayama anawala….. wewe ni kitoweo safi kwa simba.
ExactlyTuache ukatili kwa wanyama
Iyo picha inavunja moyo
Good.LAUDATO SI
Good questionKwani wewe una faida Gani Kwao?
Kweli bossUsisahau na ndege pia wana haki ya kuishi, siyo wanapigwa tu mawe kisha kugeuzwa vitoweo hata kama walikuwa ktk harakati za kuwatafutia vikinda vyakula.
Tusiache kupenda wanyama.Ukiwaumiza huumia pia kama binadamuVery good.l love u with no reason !
Kweli aisee.well said my sister hasa mfano ww na paka wako "Nana" mtu amuumize !?Tusiache kupenda wanyama.Ukiwaumiza huumia pia kama binadamu