Tuwaheshimu na kuwatunza Wanyama

Wale wa kuliwa basi fanyeni hivo .ila kuwaumiza wanyama kama hawajadhuru si jambo jema mfano huyo nyani hapo juu ameumizwa ili hali ana familia.
Huyo kajeruhiwa na wanaotaka kumla, naye kuna wanayama anawala….. wewe ni kitoweo safi kwa simba.
 
Usisahau na ndege pia wana haki ya kuishi, siyo wanapigwa tu mawe kisha kugeuzwa vitoweo hata kama walikuwa ktk harakati za kuwatafutia vikinda vyakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…