#Tuwaheshimu Wanawake

#Tuwaheshimu Wanawake

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
# MWANAMKE

● Anabadili Jina lake

● Anahama nyumbani kwao

● Anaacha familia yake

● Anaondoka na wewe

● Anajenga nyumba na wewe

● Anabeba ujauzito wako

● Ujauzito wako unabadili umbo lake

● Anakua mnene

● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.

● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.

Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia,

Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake,

Uhai wake kwa ajili yako.

Anakufumania analia kisha anakusamehe.

Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.

Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapvokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.

Heshima kwa Wanawake wote Dunian

Nawapenda Sana Mwaaaaaaahhhh[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Tunakupenda pia. Wanaume washasikia japo wanavunga kusema ila moyoni wanakiri yote kwa sababu ni wachache wanaowaheshim wanawake. Wengi huwafanya wanawake mithili ya chombo cha starehe
 
Back
Top Bottom