Tuwaige Uzberkistan Kama mafuta ni bei tunaweza kuibadili gesi yetu kuwa mafuta

Meneja hebu nitafutie kaz huko Uzbekistan
 
Sasol hawa Waafrica kusini ni habari nyingine. Huwa wanatoa diesel kwenye makaa ya mawe. Wana uwekezani mkubwa sana USA pia
 
Ni kweli mkuu, ila elezea kwa kirefu kidogo
Asante.

Watu wanaohusika na miradi wanayajua sana haya mambo ya kufanyatathmini ya mradi kabla ya kuanzishwa. Tathmini hiyo inahusisha upembuzi yakinifu wa technolojia itayotumika na utafutaji wa mizania ya kiuchumi kujua kama mradi utaleta faida inayotakiwa na kunufaisha watanzania. Kulingana na teknolojia itayotumika lazima suala la mazingira lipewe kipaumbele isije kuwa ndio tunachafua zaidi mazingira.

Kwenye clip inasemekena hiyo petroli inapatikana kwa njia ya cracking process. Njia hii imelalamikiwa sana kiuchumi na kimazingira. Hata hivyo tukifanya upembuzi yakinifu wa mradi huu tutapata majibu sahihi ya mradi huu.

Hiki ndicho nilimaanisha.
 
Tukifanya hivyo gharama za mafuta zitashuka kutoka kiasi gani mpaka kiasi gani ? Na hio gesi ya Mtwara ni ya kwetu kwa percent ngapi ? na huoni kwamba njia rahisi zaidi ni kufanya magari yatu yaweze kutumia hio natural gas direct ?
 
Unadhani ni rahisi kufanya hivyo???
 
Meneja hebu nitafutie kaz huko Uzbekistan
Huko Uz kazi zipo za kumwaga chamsingi kwanza tafuta passport baada ya hapo anza kufukuzia michongo ipo ya kutosha. Kiufupi hapa bongo tunapoteza uwezo wetu, unadumaa tu. Kuendelea kubishana vitu vidogodogo
 
Tukifanya hivyo gharama za mafuta zitashuka kutoka kiasi gani mpaka kiasi gani ? Na hio gesi ya Mtwara ni ya kwetu kwa percent ngapi ? na huoni kwamba njia rahisi zaidi ni kufanya magari yatu yaweze kutumia hio natural gas direct ?
Kwa bei ya mafuta inakoenda kufika saivi hii ndio option yenye unafuu na uzuri ni kwamba inakupa security ya kutotegemea mafuta ya watu.
 
Wewe Tanzania mazingira gani unaharibu zaidi ni kukata miti, tuviwanda tulioko Tz ni nukta tu katika uchafuzi wa mazingira
 
Sijasoma uziwako wote ila nimechefukwa nahiyo heading yako hapo juu ulivyosema tutumie gesi yetu.
Iviwewe ni mtanzania?

Sisi tuna gas wapi?????
 
Wewe Tanzania mazingira gani unaharibu zaidi ni kukata miti, tuviwanda tulioko Tz ni nukta tu katika uchafuzi wa mazingira
Yaani huwa nashangaa sana mtu anapozungumzia uchafuzi wa mazingira TanzaniaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Sijasoma uziwako wote ila nimechefukwa nahiyo heading yako hapo juu ulivyosema tutumie gesi yetu.
Iviwewe ni mtanzania?

Sisi tuna gas wapi?????

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒhiyo ya kwenye bomba bado ni ya kwetu tu.
 
Yaani huwa nashangaa sana mtu anapozungumzia uchafuzi wa mazingira TanzaniaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
Yaani Tz sisi tunavuna miti tu kwa wingi kwajili ya mkaa na mbao lakini katika viwanda ni aibu kusema tunachafua mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…