Tuwaige Uzberkistan Kama mafuta ni bei tunaweza kuibadili gesi yetu kuwa mafuta

Passport ninayo meneja tena hii ya sasa
Huko Uz kazi zipo za kumwaga chamsingi kwanza tafuta passport baada ya hapo anza kufukuzia michongo ipo ya kutosha. Kiufupi hapa bongo tunapoteza uwezo wetu, unadumaa tu. Kuendelea kubishana vitu vidogodogo
 
Yaani Tz sisi tunavuna miti tu kwa wingi kwajili ya mkaa na mbao lakini katika viwanda ni aibu kusema tunachafua mazingira
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒlabda land and water pollution (mining and plastics?)
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒhiyo ya kwenye bomba bado ni ya kwetu tu.
Hakuna chabure ndugu gas ipo kwenye ardhi yetu ndani ya nchi yetu lakini nasisi niwateja kama wateja wenginetu tunanunua full stop.
 
Ccm hawawezi kutaka kiwanda hicho wakale wapi?
Hata gesi yenyewe walishauza,

Ila Mungu kwa kumwaga Hawa viwavi Watanzania alituweza, miaka 60 utafikiri ndo tumepata uhuru juzi[emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kingine ni kwamba hiyo nchi wako vizuri sana kitaalamu na kiviwanda, hapo ujue kila kitu wanafanya wenyewe using their own technologies. Sisi mpaka sasa gesi tuu ya kupikia LNG tunaagiza hatuna hata kiwanda kimoja.
 
Nikusahihishe ni LPG sio LNG
 
Hatuna gesi hata tone mama, gesi ni ya beberu......bora wamakonde wangekomaa gesi isitoke.
 
Umeme hakuna
Maji hakuna
Sukari haipo
Mafuta bei juu
Kesi za michongo
Yote hayo serikali iko kimya.

Anyway ndiyo tabia za serikali za michongo
 
Hatuna gesi hata tone mama, gesi ni ya beberu......bora wamakonde wangekomaa gesi isitoke.
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…