Tuwajali waliotutoa mbali, kwenye mazingira magumu.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hakuna mtu mbaya kwenye upendo, unaweza kumbadilisha awe na muonekano wowote unaotaka; muhimu tu upendo uwepo.

Ila kuna wengine wakibadilishwa, wanasahau walikotoka; na kupelekea aliyembadilisha kuwa na mateso ambayo hakuyategemea.

Tuwajali, waliotutoa mbali.

ws.jpg
 
Upo sahihi ila husimsaidie mtu ukitegemea fadhila kutoka kwake siku za usoni. Utapata tabu. Moyo wa mtu kichaka.
 
Kuna mzee aliwahi kunisaidia issue moja nyeti sana, miaka ilipita (zaidi ya 15) ,nilivorudi hata nikampe fadhila sehemu aliyokuwa anaishi na familia yake nilikuta kumebomolewa na nyumba zilizojengwa ni mpya, nilipouliza wenyeji walisema aliuza mji akahama na mkoa sijui alielekea wapi. Roho iliniuma sana, mpaka leo natamani kumuona sijui kama atakuwa hai, sahivi ni zaidi ya miaka 20. Wema alionitendea ni kama deni moyoni mwangu.
 
Sio lazima umsaidie yeye unaweza kumsaidia mtu mwingine pia
 
Back
Top Bottom