Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mimi ndio niliwapiga pichaKwenye picha wewe upo wapi
Anhaa apo sawaMimi ndio niliwapiga picha
Sema nyuma ya kameraMimi ndio niliwapiga picha
Sio lazima umsaidie yeye unaweza kumsaidia mtu mwingine piaKuna mzee aliwahi kunisaidia issue moja nyeti sana, miaka ilipita (zaidi ya 15) ,nilivorudi hata nikampe fadhila sehemu aliyokuwa anaishi na familia yake nilikuta kumebomolewa na nyumba zilizojengwa ni mpya, nilipouliza wenyeji walisema aliuza mji akahama na mkoa sijui alielekea wapi. Roho iliniuma sana, mpaka leo natamani kumuona sijui kama atakuwa hai, sahivi ni zaidi ya miaka 20. Wema alionitendea ni kama deni moyoni mwangu.
Sawa mkuuSio lazima umsaidie yeye unaweza kumsaidia mtu mwingine pia