Areus
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 337
- 417
Hakuna asiyejua umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya Taifa letu. Serikali imetenga fedha nyingi sana kwa ajili ya sensa kutokana na umuhimu wake katika nchi yetu
Lkn kuna watu wanaikwamisha serikali katika kutimiza adhima hii muhimu. Leo nikiwa kijijini nilikoenda kupumzika katika likizo yangu ya mwaka, siku muhimu ya sensa nimesikitika kuona makara hawana sare zinazowatambulisha km ni makarani wa sensa, wamevaa kiraia hali maeneo mengine nchini maafsa hao wakiwa na sare.
Jambo hili linahitaji majibu km sare ziligawiwa tu baadhi ya maeneo mikoa na halmashauri na maeneo mengine hawakupewa. Lkn imani yangu serikali iliandaa utaratibu mzuri wa sare kwa maafisa wote wa sensa nchini ila tatizo lipo chini huku ngazi ya halmashauri.
Naomba mwenyekiti wa Sensa Taifa mheshimiwa waziri mkuu lifuatilie hilo km itakupendeza tuwajue wanaohujumu mchakato huu.
Mzalendo wa kusini