Tuwajue Waswahili na Uswahili wao

Mzee unazungumzia TANU iliyopigania uhuru wa Tanganyika 1961, now 2025 kizazi kipya kinapigania uhuru toka kwenye makucha ya Ccm..

Yametokea mauaji makubwa sana oct 29...watoto,vijana kwa wazee wameuwawa kwa risasi za moto na serikali yao wenyewe!

Nadhani hili lilihitaji kukemewa bila kificho,woga,wasiwasi au unafiki na wazee wetu wa zamani mnaoijua hii nchi vizuri, kulikoniii?

Otherwise,historia itakuja kuzungumzia wazee waliokaa kimya kwa sababu wanazozijua wao kwenye mauaji ya kutisha namna ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…