Hawa ni raia wa Tanzania wanaofanana kabisa na wale waumini wa Askofu Kibwetere. Hawa ni waumini ambao wanatumiwa vibaya na akina Gwajima. Wanapokea maagizo halali na haramu kutoka kwa Gwajima. Je, serikali iko tayari kuona raia wake wako hatarini kwa kiasi hicho. Gwajima anaweza kuwapa amri ya aina yoyote dhidi ya serikali watu hawa na yeye akajificha katikati yao ili asichukuliwe hatua.Watajua mwenyewe , wakombolewe na Yesu , yeye akishindwa sisi ni nani mpaka tuweze?
Yesu aliowafufua kutoka wafu anashindwa vipi kuwaokoa ? Zipo shuhuda za hao waumini wakikiri maajabu ya yesu , hivyo wamwombe awachomoe kwenye kizaa zaa , mimi naogopa kutekwa bwasheeHawa ni raia wa Tanzania wanaofanana kabisa na wale waumini wa Askofu Kibwetere. Hawa ni waumini ambao wanatumiwa vibaya na akina Gwajima. Wanapokea maagizo halali na haramu kutoka kwa Gwajima. Je, serikali iko tayari kuona raia wake wako hatarini kwa kiasi hicho. Gwajima anaweza kuwapa amri ya aina yoyote dhidi ya serikali watu hawa na yeye akajificha katikati yao ili asichukuliwe hatua.