MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wamekueleza Wana shida gan hawa mkuu...Wafuasi wa Mbowe.
Yaani acha tu boss.. hakikisha wewe na Mwashambwa mna bima ya afya mapema sana.Namba 2 isikie tu kwa jiraniš£
Wana matatizo ya akili.Wamekueleza Wana shida gan hawa mkuu...
Kwa hapa miaka inavyoenda mauwaji ya Wana ndoa yataongeza vifo vingi sana kuliko malaria na ukimwi...n swala la muda tuWanaume wenye wake pasua kichwa.
Halafu baadaye utawaita wana matusi?Unaacha kuwakumbuka wanaotekwa na kuuwawa unahangaika na wenye mahaba binafsi kisiasa?Wana matatizo ya akili.
1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto.
2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao.
3. Wanawake wajawazito wajifungue salama.
4. Walionasa kwenye madeni.
5. Wanaofanya kazi kwa wahindi.
6. Wanaopambana kujitoa kwenye aina mbalimbali za uraibu ikiwemo nyeto na porn.
7. Wafuasi wa Mbowe.
8. Wanaume wenye wake pasua kichwa.
9. Wanawake wenye waume walevi.
10. Viongozi na maafisa wa Tume huru ya uchaguzi.
Umethibitishaa VP mkuu kuwa hawana akilii!!!!!Wana matatizo ya akili.