joseph maina kamau
New Member
- Mar 15, 2016
- 1
- 0
Vita n'kuvuteRiwaya ya KULI Shafi Adam Shafi
KufikirikaShaaban Robert
1. Adili na nduguze
2. Kusadikika
Pia ana riwaya inaitwa " Haini " moja bonge la riwaya.Jamani namkumbuka saana
Shafi Adam Shafi na vitabu vyake vifuatavyo
1.Vuta N'kuvute
2.Nyota Ya Rehema
3.Kasri Ya Mwinyi Fuad
4.Kuli
5.Mbali Na Nyumbani : hiki amekitunga hivi karibuni ni kitabu kizuri saaana
Zainab MwangaHiba ya wivu nani vile mwandishi
Agoro Anduru (ingawa hadithi zake nyingi zilikuwa za kiingereza. Huyu jamaa pia alikuwa anachapisha hadithi zake kwenye gazeti la Sunday News la enzi hizo)
1. A Bed of Roses and Other Writings
2. Loyalty to My Friend
3. Temptation and Other Stories