Tuwakumbuke walimu wetu waliokuwa na matusi sana

Tuwakumbuke walimu wetu waliokuwa na matusi sana

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Habari kwenu Washirika JF

Leo emutaja mwalimu aliekuwa kiboko kwa matusi shuleni kwako.

unaeza taja wa level yeyote ile.

mimi namkumbuka mwalimu wangu wa hisabati shule ya msingi alikua anaitwa ndele ,alikua na matusi hatari neno k...*...m...* kwake ni kama kiunganishi "na"
 
Alituambia wanawake walivyo umbwa walipasuliwa na panga pale katikati mwa mapaja [emoji38]
 
Mwalimu wa agriculture, maths (o level) na kwa waliosoma bios (A level). Sipendi kuwataja majina yao
 
Tuache kukumbuka nchi ya maziwa na asali, serikali iliyopita tukumbuke matusi?

Pita hivi
 
Back
Top Bottom