Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Masoud masoud manju wa muziki...haha kumbe kunawatu wanamuelewa vyema!Masood masood manji Wa muziki ni shida huyu Mzee sijawahi kuona sijui kama alikuwepo tangu nyuma ila ananikosha sana sauti,style,ujuzi na kuujua muziki kwa mapana na urefu ndivyo vinamjengea upekee Wa hali ya juu kabisa .
Huyo Hatari Sana alikuwa ananifurahisha sana.Ezekiel Malongo, Shaban Kisu, Sara Dumba, Bettx Mkwasa Hatari Sana
Juma Ngondae wa Zamani sana aiseWafuataonni baadhi ya watangazaji tokavenzi ya Redio Tanzania mpaka TBC
1.Abdul Masoud
2.Juma Ngondae
3.Betty Chalamila
4.Juma Nkamia
Kuna jamaa tulikuwa tunamwita Ngondae kwasababu tu alikuwa anaitwa Juma.Juma Ngondae wa Zamani sana aise
Ni CHRISTINE CHOKUNEGELAChristine chakomegala sijui jina la mwisho lipo sawa
Kida/Shida Waziri, huyu hakuwa Mwanamuziki na Mama Mtoto wa Marehemu Hemed Maneti?.Aloycia Maneno
Deborah Mwenda
Hemed&Omari Jongo
Julius Nyaisanga
Charles Hilary
David Wakati
Ben Kiko
Shida Waziri
Hendric Libuda
Michael Katembo
Eda Sanga
Daa!Ni wengi nimesahau lakini walizimudu vyema kazi zao.