Puuh
New Member
- Aug 27, 2022
- 1
- 0
Ukweli usiopingika ni kwamba watu wengi wamejisahau sana , kuhusu hawa watu. Pengine ni sababu ya chanagamoto za kimaisha au kukosa muda. Kutokana na majukumu. Lakini sidhani kama ni sababu za msingi endapo ukayajua haya.
. Walikuwa karibu na wazazi wao kama alivyo mwanano.
. Mzazi alitamani amsaidie amsaifie mwanae, ili aje amsaidie badae kama ulivyo wewe
. Nao pia walkua na ndugu wa karibu ukiacha Baba na Mama kama alivyo mwanao
. Na wao walkua na ndoto kama alizokuwa nazo mwanao
. Sisi ni wa MWENYEZI MUNGU na tutarudi kwake muda wowote na saa yoyote ile.
• Kinachofanyika hapa ni kukumbushana sisi kama binadamu kuwa kama tunavyowajali na kuwathamini watoto wa jirani bas tuwajali na kuwathamini watoto YATIMA.
• Tumejisahau kuwa swala la watoto yatima ni la kwetu sote na sio la SEREKALI na TAASIS ZA KIDINI
*NINI KIFANYIKE TUKIWA KAMA WAZAZI NA WADAU.
. Kushiriki katika kutimiza haja zao za kila siku
. Kuwajengea mahusiano mazuri baina ya watoto wetu wa nyumbani na wao
. Kushiriki katika maombi na mawaidha ili kuwajenga kiroho kama tunavyo fanya kwa watoto wetu wa majumbani
Ujumbe huu uende kwa wazazi wote na wadau , tukae tukifahamu kwamba duniani tunapita tudumishe upendo na amani, na tuwalisishe watoto wetu urithi wa namna hii. Ili upendo uzidi kudumu vizazi na vizazi

Upvote
0