Usaili wa walimu unaoendelea Tanzania ni kizungumkuti kwa sababu ya hoja mbalimbali kama zifuatazo;
1. Usaili sio wa haki na usawa kwa sabab unajumuisha wasailiwa wa miaka yote tokea 2015.
2. Hakuna kiwango maalumu cha ifaulu, Kwa mfano aliyepata 64 Geography amebebwa, aliyepata 72 kiswahili amebebwa, aliyepata 76 History amebebwa lakini aliyepata 76 English ameachwa..
3. Mitihani ya usaili ni invalid kwa sababu yote ina tarehe za mwaka jana 2024.
4. Usahihishaji pia nj changamoto kwa sababu mitihani inasahihishwa ndani ya siku moja tu! na matokeo kutolewa.
5. Usaili unachelewa kuanza na sio kama ilivyotakiwa, kuna mitihani ilianza mpaka saa 6 za mchana badala ya saa 2 asubuhi.
6. Kumekuwa na connection pia kwenye usaili huu. Kwa mfano kiswahili kuna watu waliopata alama 74 jambo ambalo kwa matiki ya kawaida haliwezekani maana kila swali ni alama nne.
Kwa kweli chngamoto zipo nyingi na hizo ni baadhi yao. Kwa hiyo, tusiwalaumu vijana hawajafeli bali mfumo mzima wa usaili una mambo mengi.