Tuwaombee Kenya, hali inazidi kuwa mbaya

corona ni ugonjwa ila bahati mbaya umepewa chart kubwa kimakosa.

landa ndio lilikuwa lengo,hatujui,but rais wetu ana maono ya mbali sana,huyo Mungu anayemuomba ni Mungu wa kweli aisee.
Rais wenyu hajali maisha ya wananchi wake anajali tu uchumi heri maelfu wafariki lakini uchumi ukue...mibongolala mliovyo thick kichwani ni kushangilia tu wacha tuone kama mtaendelea kusifia if the virus hits close to you.......mnafuata model ya sweden ila kule hali si hali tena na uchumi wao utakua tu affected just like the rest of europe
Sweden had no lockdown but its economy is expected to suffer just as badly as its European neighbors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia wenyu akijali wananchi wake!
 
Mizoga ya midanganyika yamejaa mahospitali na mwendawazimu wao mawe Bado anasema wajifukize....I say..This poverty stricken dark Nation called Danganyika is under threat of real Death
Poverty stricken? Hivi kule kibera siku hizi kukoje? Sijafika Nairobi siku nyingi
 
wewe unasema nini???

maelfu wepi wanafariki??

mpaka leo asubuhi kenya maambukizi mapya ni 887.hujui unakata viuno tuu,hiyo lockdown imewasaidia nini!!!!
 
wewe unasema nini???

maelfu wepi wanafariki??

mpaka leo asubuhi kenya maambukizi mapya ni 887.hujui unakata viuno tuu,hiyo lockdown imewasaidia nini!!!!
Sasa wewe mwerevu juu mmeacha kupima inamaanisha corona imeisha Tanzania? unajuaje waliofariki kama serikali imesusia kutoa data?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe mwerevu juu mmeacha kupima inamaanisha corona imeisha Tanzania??unajuaje waliofariki kama serikali imesusia kutoa data??ile historia ya kinjekitile ngware inasum up akili zenyu zilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kaacha kupima...Kupima tunapima na right away tutatoa takwimu...Deal na kwenu, huko ndio pamoto.
 
Sasa wewe mwerevu juu mmeacha kupima inamaanisha corona imeisha Tanzania??unajuaje waliofariki kama serikali imesusia kutoa data??ile historia ya kinjekitile ngware inasum up akili zenyu zilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
unajuaje waliofariki? hizo ni ramli za kiganga unapiga.

Kwani waotakiwa kufa si ni watu tuanaoishi nao mtaani, ndugu, jamaa na marafiki? sasa unashindwaje kuona kama corona inaua ama haiui mpaka uambiwe na serikali!

Kwa akili za kawaida, unafikiri raia wangekuwa wanaanguka hovyo na kufa mtaani, kuna mtu angesubiri kuambiwa akae ndani!!!watu wanaona na wanaishi, wamegundua ugonjwa huu unapewa promo tu, hamna kitu.
 
Habari wakuu?
Leo mchana kuna video nimetumiwa na mshikaji wangu Njeri,amenihabarisha kuna mgomo na vurugu za hapa na pale tokana na lock down,Vurugu hizo zikichochewa sana na jamii ya wasomali.

Tatizo lao hasa ni lock down huku hawana chakula.
Naambatanisha na ka video alikonitumia.
Ndugu zangu wakenya tuhabarisheni hali ilivyo nchini kwenu..
Your browser is not able to display this video.
 
MK254 endeleni na total lockdown,ila kaa ukijua hamna baunsa wa njaa.

Manake na kuonaga humu upo busy kutuponda sisi Tanzania na nasikia mmeongeza siku 21.

Wengine Uganda hawa hapa timbwili lishaanza.
 
Kuwaweka watu lockdown halafu huna uwezo wa kuwa hudumia ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…