Tuwaone huruma dada zetu vyuoni, wanajiuza hali ya maishani ngumu

Tuwaone huruma dada zetu vyuoni, wanajiuza hali ya maishani ngumu

eddy edo

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
44
Reaction score
10
Jamani naomba wanajamvi mwenye uwezo wa kufikisha hili maala uika alifikishe maana hali ni mbaya sana vyuoni watu wanalala bila kula na wengine mlo mmoja kisa pesa hakuna.
Na hii imepelekea badhi ya wadada vyuoni kujuliuza katika mabaa na mahotel ili kupata walau mlo mmoja kwa siku
Kinachonisikitisha ni kuona Swala hili serikali halilitolei majibu au ufafanuzi ni kwanini wanafunzi hawajapata pesa adi sasa

VIONGOZI WETU TUJALIBU KUWA NA HURUMA
 
Wako busy hayo hawayatilii maanani wanajali matumbo yao
 
Wawape kwanza wa kike ili kuondoa hii hali ya kujiuza. Usikute hela yenyewe haifiki hata bilioni 1 lkn ccm wamegawana bilioni 306 za escrow na hatujawafanya kitu chochote. Watoto wa masikini wenye akili watafeli kwa sababu ya uhuni wa ccm (Chama cha Majambazi)
 
pole zao ila mbona wanaume hawajiuzi au wao wamepewa? wasijirahisi hivyo kwani umalaya ni hulka ya mtu hata akiwa anapata pesa wasifanye hvyo kwa kisingizio cha kukosa pesa pia wajifunze kuweka akiba sio kuwaza viwalo tuu
 
Wa kiume wanatumia mbinu gani kumudu hayo maisha? wanafanya kazi za kutwa (day work) au wizi?
 
Kama kuna kitu mimi nachukia ni kujitoa kwenye shida na kujifnya kukaa kando ati ka vile huhusiki. Usitafute huruma kupitia kwa hao unaowaita dada zetu.
Wote wa kike na wa kiume hulala njaa. Hakuna upendeleo. Wakikosa ni wote, wakipata ni wote. Kujiuza hata wangepewa zote, ka una hulka ya kujiuza tutakukuta rodini tuu.
Hoja hapa ni kwamba; Hii serekali ina nia gani na watoto hawa wa watu?? Mliwatoa kwao kwenda kuwaua kwa njaa?? Wangeweza kujiuza wakasoma vizuri hiyo nayo ingekuwa ni option lakini haipo hivyo. Hawakuambiwa wakajiuze bali waliahidiwa kupewa pesa ya kutosha kujikimu. Iko wapi ahadi ya serekali?? Kipaumbele ni nini kwa serekali hii? Je, hii ndo BRN? Nawasilisha tu
 
Nashukuru kwa taarifa, kijana edo ni baa zipi wanapatikana kwa wingi? Tunataka kufanya utafiti kubaini ukweli wa jambo hilo kabla ya kulithibitisha.
 
Hvi wale ambao hawana mikopo wao wanawezaje kuishi?
 
Kujiendekeza tu.
Hiyo miezi miwili waliishi vipi sasa ndio watake jiuza. Jiuzeni tu na ukimwi mpate
 
Back
Top Bottom