Kama kuna kitu mimi nachukia ni kujitoa kwenye shida na kujifnya kukaa kando ati ka vile huhusiki. Usitafute huruma kupitia kwa hao unaowaita dada zetu.
Wote wa kike na wa kiume hulala njaa. Hakuna upendeleo. Wakikosa ni wote, wakipata ni wote. Kujiuza hata wangepewa zote, ka una hulka ya kujiuza tutakukuta rodini tuu.
Hoja hapa ni kwamba; Hii serekali ina nia gani na watoto hawa wa watu?? Mliwatoa kwao kwenda kuwaua kwa njaa?? Wangeweza kujiuza wakasoma vizuri hiyo nayo ingekuwa ni option lakini haipo hivyo. Hawakuambiwa wakajiuze bali waliahidiwa kupewa pesa ya kutosha kujikimu. Iko wapi ahadi ya serekali?? Kipaumbele ni nini kwa serekali hii? Je, hii ndo BRN? Nawasilisha tu